Home » » MANI MARTIN ACHAGULIWA KUIWAKILISHA RWANDA SHINDANO LA KUTAFUTA VIPAJI

MANI MARTIN ACHAGULIWA KUIWAKILISHA RWANDA SHINDANO LA KUTAFUTA VIPAJI

Mani Martin
Mwanamuziki wa nchini Rwanda mwenye nyota na kipaji cha kipekee cha muziki, Mani Martin ataiwakilisha nchi yake Rwanda kwa kushiriki katika tamasha la kimataifa la muziki called Bayimba huko Uganda. 

Tamasha hili ambalo safari hii linafanyika kwa mara ya 6, linatarajiwa kuanza mwezi ujao huko Jinja, na ni nafasi nzuri kwa wasanii wakongwe pamoja na wale wanaochipukia kuonyesha vipaji vyao kwa wapenzi wa
sanaa hiyo.

Mani ambaye mbali na muziki pia ni mtunzi mzuri wa mashahiri pamoja na mwigizaji, ameendelea kujijengea jina kubwa katika majukwaa ya kimataifa hasa kutokana na muziki wake wenye vionjo vya kiafrika na ladha za kiasili ambao dunia imeupokea vizuri

0 comments:

Post a Comment

Template information

 
Support : Your Link | Your Link | Your Link
Copyright © 2013. GOSSIP TANZANIA - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger