Wananchi wa uholanzi hii leo wanashuhudia kusimikwa rasmi kwa mwana
mfalme wa Malikia Beatrix, Willem-Alexander kama mfalme mpya wa taifa
hilo katika sherehe za kihistoria.
Willem-Alexander anakuwa mfalme wa kwanza kijana kuongoza taifa la
Uholanzi katika sherehe ambazo zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa
dunia.
Siku ya jumatatu malkia Beatrix alitangaza rasmi kukabidhi madaraka
ya kifalme kwa mtoto wake wa kiume, Alexander katika tukio
lililoshuhudiwa nchi nzima kupitia njia ya televisheni.
Gonga continue reading kuendelea.


0 comments:
Post a Comment